Home » News & Magazines » Mwana Soka
Mwana Soka Apk

Mwana Soka 1.1.9 APKs

  • Version: 1.1.9
  • File size: 9.79MB
  • Requires: Android 4.0+
  • Package Name: com.ewebtz.spotiki
  • Developer: MSoft Tanzania
  • Updated Aug 14, 2023
  • Price: Free
  • Rate 4.50 stars – based on 10 reviews
What's New?

v20(1.1.9) Fixed Minor Bugs

Mwana Soka App

Spotiki App ni kwa ajili ya mashabiki wa ukweli wa mpira wa miguu, mchezo upendwao zaidi duniani

Ukiwa na Spotiki utapata taarifa za kandanda zinazojiri Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika, Ulaya na Duniani kote kwa ujumla

Kwa wale wanaopenda ku bet, App hii itakusaidia kwani kuna uchambuzi wa kina unafanywa kuhusu mechi mbalimbali zinazopigwa ligi kuu ya Uingereza, La Liga, Serie A, Ligi One na bila kusahau ligi kuu ya Tanzania Bara

Ukiwa na App hii utaweza kupata ratiba ya mechi zote za ligi kuu ya Uingereza, La Liga na Ligi Kuu ya Tanzania Bara

Pia kuna Msimamo wa ligi hizo, takwimu na yote yanayojiri kwenye ligi hizo

Spotiki imebuniwa kuwa rahisi kutumia na ni maalum kwa ajili wako wewe mpenzi wa soka

Show More