Home » Lifestyle » Hodari Mapenzi
Hodari Mapenzi Apk

Hodari Mapenzi 8.0 APK

  • Version: 8.0
  • File size: 7.94MB
  • Requires: Android 4.1+
  • Package Name: com.hodarimapenzi.app
  • Developer: browndiba
  • Updated Sep 18, 2019
  • Price: Free
  • Rate 3.90 stars – based on 28 reviews
Hodari Mapenzi App

Pakua app hii kwa story na elimu kuhusu mapenzi .Hodari Mapenzi ni App inayokupa Mambo mbalimbali kuhusiana na mahusiano pamoja na Mapenzi kila siku yatakayokufanya uweze kujua mambo mengi sana kuhusiana na Mapenzi pia utaweza kujua zaidi mambo yafuatayo kupitia app hii

Utundu na Utamu wote wa chumbani.
Siri zote za Mapenzi.
Darasa la Mapenzi.
Simulizi nzuri za Mapenzi.
Ushauri kuhusu Mahusiano na Mapenzi.
Ujumbe mzuri wa Mapenzi.
Mapenzi Mubashara.
Utajifunza mapenzi.
Sms za mapenzi.
Mikasa ya mapenzi

Hodari Mapenzi ni mahali utakapo pata Elimu ihusuyo Mapenzi na huku ndipo kuna Dunia ya Mapenzi, Sayari ya Mapenzi pamoja na kijiwe safi kwa ajili ya mahusiano pamoja na mapenzi

Show More