Home
Home » Social » Loss Report - Tanzania
Loss Report - Tanzania Apk

Loss Report - Tanzania 3.0 APKs

  • Version: 3.0
  • File size: 4.05MB
  • Requires: Android 5.1+
  • Package Name: com.snaville.loss.report
  • Developer: Snaville
  • Updated: March 27, 2020
  • Price: Free
  • Rate 4.80 stars – based on 495 reviews
The description of Digital World Loss Report - Tanzania

We provide Loss Report - Tanzania 3.0 APKs file for Android 5.1+ and up. Loss Report - Tanzania is a free Social app. It's easy to download and install to your mobile phone.
Please be aware that ApkPlz only share the original and free pure apk installer for Loss Report - Tanzania 3.0 APKs without any modifications.

The average rating is 4.80 out of 5 stars on playstore. If you want to know more about Loss Report - Tanzania then you may visit Snaville support center for more information

All the apps & games here are for home or personal use only. If any apk download infringes your copyright, please contact us. Loss Report - Tanzania is the property and trademark from the developer Snaville.

Jeshi la polisi Tanzania limeanzisha mfumo ambao unakuwezesha kupata loss report bila kufika kituo cha polisi. Kupitia App hii utaweza kutumia mfumo huo moja kwa moja na kuweza kusajili mali iliopotetea, kulipia pamoja na kupata nakala ya loss report.

JINSI YA KUTUMIA:
Mwombaji wa fomu ya upotevu kwa njia ya mtandao, unatakiwa kufuata hatua zifuatazo:-

Kujaza fomu kupitia mtandao na kutoa maelezo ya upotevu.
Ukisha jaza fomu hiyo utapatiwa ‘control number’.

Baada ya kupatiwa ‘control’ namba utalipia Tsh 500/= kwa njia ya mtandao.

Baada ya kukamilisha hatua zote mwombaji utaprinti fomu hiyo kwa wakati wako.

NB: Unaweza kwenda kituo chochote cha polisi kwa ajili ya kuthibitisha taarifa!

ANGALIZO:
App hii haijatengenezwa na jeshi la polisi isipokua yaliyomo ndani ya app hii ni mali ya Jeshi la Polisi Tanzania

Show More